
Bado nature visuals 📸
June 19, 2025 at 05:18 PM
Je wajua?
Twiga ni mnyama wa amani — mpole, mtulivu, na mwenye maono ya mbali.
Tanzania imemuweka kwenye nembo ya taifa, kuashiria utulivu, heshima, na uongozi wenye dira.
Twiga hula kwa utaratibu, haanzishi vita, na huishi kwa mshikamano na wenzake.
👁️🗨️ Kutazama maisha ya twiga ni kutafakari kuhusu dunia yenye utulivu na usawa.
👉 Follow @bado_nature_visuals kwa facts, elimu, na mambo usiyoyajua kuhusu uhifadhi, wanyamapori, na uzuri wa asili ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. 🌍🌿
