
Side Makini Blog
June 19, 2025 at 07:11 AM
Kupitia Instagram, @aslayisihaka ameonyesha kuvutiwa na ngoma mpya ya Mbosso kutoka kwenye EP yake #roomnumber3, hasa kibao cha “Asumani” kilichozalishwa na @goodmaster255 kwa ladha ya Singeli na Mchiriku.
🎧 Aslay aliandika: “Huyu mtoto hana adabu @mbosso_” – kauli ya kimzaha lakini ya kiungwana, ishara ya heshima kubwa kwa sanaa ya Mbosso.
🧡 Tangu EP hiyo itoke Juni 13, mastaa kama Aslay, Rayvanny na Harmonize wameonekana kuonesha sapoti isiyo kifani kwa Mbosso.
🔁 Je, tunaweza kuona kolabo ya Aslay x Mbosso tena?
🗣️ “Asumani” inazidi kuwasha masikioni mwa mashabiki wa singeli!
#sidemakiniblog
