
Side Makini Blog
June 19, 2025 at 10:02 AM
Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania 🇹🇿, #diamondplatnumz, ameweka historia mpya kwa kuwa msanii wa kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha milioni 10+ subscribers kwenye YouTube!
Kupitia muziki wake, Diamond ameendelea kuibeba Bongo Flava hadi kimataifa 🌍
👑 Top 10 Artists YouTube Subscribers – South of Sahara (2025):
1️⃣ @diamondplatnumz – 10.1M
2️⃣ @rayvanny – 5.74M
3️⃣ @burnaboygram – 5.35M
4️⃣ @harmonize_tz – 5.16M
5️⃣ @fallyipupa01 – 5.04M
6️⃣ @heisrema – 4.94M
7️⃣ @tyla – 4.86M
8️⃣ @davido – 4.55M
9️⃣ @ckay_yo – 4.21M
🔟 @officialzuchu – 3.97M
🔥 Wadau wa muziki, mnasemaje kuhusu mafanikio haya ya Chibu Dangote?
#sidemakiniblog

👍
1