
Side Makini Blog
June 19, 2025 at 12:12 PM
Uongozi wa msanii maarufu #gigymoney wamethibitisha rasmi kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, wamesema:
“Ni kweli GIGY anaumwa na anahitaji sana maombi yenu. Hajapigwa wala hajapigana kama inavyosambazwa mtandaoni. Anahitaji faraja, amani na mapumziko. Ni mama wa mtoto, na mtoto wake anamuhitaji.”
🤍 Tumuombee kipenzi hiki cha wengi kwa uponyaji wa haraka.
🙏🏽 We love you Gigy.
#sidemakiniblog
