mangekimambi_
mangekimambi_
May 23, 2025 at 03:32 PM
Mwenzi wa April Mkuu wa polisi alienda CRDB akadeposit 68M cash. Hizo pesa zilitoka wapi ? Alafu jiulize 68M nyumbani ina baki ngapi ? . Some month CRDB wamempa Mkuu wa polis mkopo wa 1B CRDB need to be inestigated , it seems kuna michezi inachezwa na Serikali pale CRDB y utakatishaji pesa. Ana investigation is needed. Huo sio mkopo kam mkopo kutoka Benk , hiyo ni njia nyingine ya kumfikishiaji pesa Mkuu wa polisi. . Na mkiangalia then akanunua bonds za 1.6 billion , aisee nimeliaa 😭😭😭 . Imagine mkuu wa polis ana balance ya 1B bank , mnadhani ataacha kupiga wanachi ilii na yeye aendelee kutafuna nchi?? Unadhani ataacha kuteka na kuua wapinzani ili chama tawala kibaki madarakani.
Image from mangekimambi_: Mwenzi wa April Mkuu wa polisi alienda CRDB akadeposit 68M cash. Hizo ...

Comments