
mangekimambi_
174 subscribers
About mangekimambi_
Top gossip channel Habari, Matukio, Lifestyle, Mazoezi , Michezo, Entertainment, Matukio ya Jamii, Uanaharakati and of course……Umbea. *Wink* News, Even, Lifestyle, Weight Loss, Workout, Sport, Entertainment, Social Issues, activism and of course……Gossip. *Wink* Dada wa Taifa 🇹🇿. TULETEE UMBEA TUTAKULIPA 💰 WHATSAPP & a TELEGRAM +1 424 537 3057 DOWNLOAD MANGA KIMAMBI APP https://apps.apple.com/be/app/mange-kimambi Follow me on Instagram & Tweet x @mangekimamb81 , mangekimambi
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Mr Mwijaku and Mrs #aliciousm on new care 😝😝, . Nyiee !! Yani haya mahusiano mengine ya tupishe , Ndoa za uzeeni nayo ndoaa.. . #Natetemek..


Follow the mangekimambi_ channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vah6yG36hENr1VEsNo3n Guys naomba share link kwenye website mbali mbali pleas na tegema suport kutoka kwenu, ili tu account yang ya IG ikifungwa ni weze kuhamia huk moja kwa moja ..

Mwenzi wa April Mkuu wa polisi alienda CRDB akadeposit 68M cash. Hizo pesa zilitoka wapi ? Alafu jiulize 68M nyumbani ina baki ngapi ? . Some month CRDB wamempa Mkuu wa polis mkopo wa 1B CRDB need to be inestigated , it seems kuna michezi inachezwa na Serikali pale CRDB y utakatishaji pesa. Ana investigation is needed. Huo sio mkopo kam mkopo kutoka Benk , hiyo ni njia nyingine ya kumfikishiaji pesa Mkuu wa polisi. . Na mkiangalia then akanunua bonds za 1.6 billion , aisee nimeliaa 😭😭😭 . Imagine mkuu wa polis ana balance ya 1B bank , mnadhani ataacha kupiga wanachi ilii na yeye aendelee kutafuna nchi?? Unadhani ataacha kuteka na kuua wapinzani ili chama tawala kibaki madarakani.


Mambo ni mengi mda ni mchache ….!! . Kwanza kabisa nik na shtumiwa na wambea wangu toka juz walipa hii habar nika shindwa kuruka nayo koz nika zani ni kiki , yan hapa nilipo sina huwa kika moja kwa moja yani na tetemek 🥶 kweli Dai kajuwa kuni komesha . . Soon nita kuja na info za kweli
