
mangekimambi_
June 1, 2025 at 06:57 PM
Mambo ni mengi mda ni mchache ….!!
.
Kwanza kabisa nik na shtumiwa na wambea wangu toka juz walipa hii habar nika shindwa kuruka nayo koz nika zani ni kiki , yan hapa nilipo sina huwa kika moja kwa moja yani na tetemek 🥶 kweli Dai kajuwa kuni komesha
.
.
Soon nita kuja na info za kweli
