๐๐๐ ๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐, ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐
June 9, 2025 at 04:29 PM
Habarini za Usiku ,Siku ya Kesho Dkt Fedrick Anapatikanaย kwaajili ya Huduma ya Onlineย Consultation .Kuanzia sasa unaweza kuweka Miadi na Daktari
๐10 June 2025
๐คHuduma Hii ni Bure!
๐ทMatibabu ya Ugonjwa wa Typhoid
๐Weka Miadi https://t.co/xYNd016N2H
โฐKuanzia Saa 4 Asbh Mpaka Saa 6 Mchana
Dkt Fedrick, Telehealth Co
Kwa kesi zote zinazosubiri ufuatiliaji tafadhali usisite kupiga Simu. 0747 290 565 , 0688 971 032 au Chati na Huduma kwa wateja WhatsApp https://wa.me/255747290559
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge