𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 10, 2025 at 05:19 AM
Dental caries hudhibitiwa kwa kuhakikisha usafi mzuri wa kinywa kila siku kwa kupiga mswaki angalau mara mbili kwa siku na kutumia dawa ya meno yenye fluoride.
Ni muhimu pia kupunguza ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi.
Kutembelea daktari wa meno mara kwa mara kwa ukaguzi na kusafisha meno kitaalamu husaidia kugundua matatizo mapema.
Matumizi ya vyakula vyenye madini ya kalsiamu na vitamini D pia kunasaidia kudumisha afya ya meno.
--------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Co
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge
👍
1