𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 15, 2025 at 03:37 PM
Kunywa Maji kwa Mda Mwafaka huboresha Afya ya Mwili
🤤Kunywa Glass Moja ya Maji Kabla ya kulala Husaidia kupunguza Hatari ya Magonjwa kama Kiharusi na Magonja ya Moyo
🦴Kunywa Glass 1 baada ya kuamka husaidia kusisimua Utendaji kazi wa Viungo vya Mwili
🧘♂️Kunywa Glass 1 ya Maji dakika 30 kabla ya kula husaidia kuimarisha Mmeng'enyo wa chakula
🤼♂️Kunywa Glass Moja ya Maji kabla ya kuoga husaidia kushusha Shinikizo la Damu
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge
❤️
1