
๐๐๐ ๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐, ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐
June 16, 2025 at 05:36 AM
Kitunguu swaumu kina umuhimu mkubwa katika afya ya binadamu kutokana na uwezo wake wa kutoa kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali. Kina virutubisho vingi kama vile vitamini C, B6, madini ya selenium na manganese. Pia kina kemikali za asili ambazo huongeza kinga ya mwili, kusaidia kushusha shinikizo la damu na kupunguza Mafuta Mwilini.
๐ฆ Kitunguu swaumu husaidia pia katika kupambana na bakteria na fangasi, hivyo ni msaada katika tiba ya maambukizi madogo.
๐ฉHusaidia kusafisha damu, kuboresha mzunguko wa damu, na huweza kuchangia kuboresha afya ya moyo.
๐ชWengine hutumia kwa ajili ya nguvu za mwili na kuongeza hamu ya kula.
Pia, matumizi ya mara kwa mara ya kitunguu swaumu huweza kusaidia kupunguza hatari ya kupata magonjwa ya saratani kwa baadhi ya watu.
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge

๐
โค๏ธ
3