๐๐๐ ๐๐๐๐ก๐๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐ฉ๐๐๐, ๐ง๐๐ก๐ญ๐๐ก๐๐
June 17, 2025 at 04:25 AM
Kunywa chai ya tangawizi asubuhi husaidia kusisimua mfumo wa mmengโenyo wa chakula na kuongeza kasi ya uchomaji wa mafuta mwilini.
Tangawizi ina uwezo wa kupunguza kichefuchefu, kuondoa gesi tumboni na kusaidia utulivu wa tumbo. Pia husaidia kuongeza mzunguko wa damu, kuimarisha kinga ya mwili na kupunguza maumivu ya viungo au misuli.
Kunywa chai ya tangawizi asubuhi pia kunaweza kusaidia kupunguza msongo wa mawazo na kutoa hali ya utulivu wa akili na mwili kwa siku nzima.
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge