
𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 17, 2025 at 08:44 AM
Wengi wanafikira Hasi kwamba kwasababu Matunda ni asili basi Hata kama ukila Mengi hayawezi kukuhatarisha kupata Magonjwa ya Lishe .
Matunda ni Asili kweli, Matunda yana virutubisho Muhimu na nisehemu sahihi ya Lishe bora. Ila changamoto Inakuja pale unapolazimisha upate virutubisho vingi kutoka kwenye Matunda Kupitia Mfumo wa Juice
Matokeo yake Hufikii Malengo na unaulemaza Mwili na Ile Sukari iliyoingia wakati unakunywa Hiyo Juisi.
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge
