𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 17, 2025 at 08:45 AM
Ni Kweli Mwili wa Binadamu Unahitaji vitamins na Madini Ambavyo Hupatikana katika Matunda . Lakini Tambua kwamba Matunda Ni Bidhaa ya Msimu usifanye kuwa Bidhaa ya Siku zote Kula Matunda kama yalivyo usikamue Juice yake Kula Matunda baada ya kumaliza kula chakula kikuu. Usifanye Matunda kuwa Mlo Mkuu ,Unakula kisinia kizima , Unakula Tikiti zima au Nanasi Zima . Sio Salama kiafya ---------------------------------------------------- Dkt Fedrick, Telehealth Clinician #afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge

Comments