
𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 18, 2025 at 09:50 AM
Matunda ni chanzo kizuri cha vitamin B na C kiujumla tunaita water soluble vitamin Sayansi inasema "Mwili wako huwa Hauna uwezo wa kuhifadhi water soluble vitamins za ziada Hata kama ukikazana kuupendelea Mwili
Water Soluble vitamins za Ziada utazikojoa zote ila hautakojoa Sukari za Matunda Hayo . Unywaji wa juice Nyingi za Matunda Matamu kwa Lengo la kuupa Mwili virutubisho Huumiza Ini, Huvuruga Homoni, Huathiri sukari ya Damu na kuongeza uzito
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge
