πππ ππππ‘ππ πππππ§ππππ₯π π¦ππ₯π©πππ, π§ππ‘πππ‘ππ
June 18, 2025 at 09:51 AM
Makundi Haya unapotaka kujitibu Matunda Matamu yanatakiwa Yasiwe Sehemu ya Lishe yako Hadi upone.
#kitambi na uzito Mkubwa
#kisukari na Mtarajiwa wa Kisukari
#mvurugiko wa Homoni
#shinikizo la juu ya Damu
Kuacha Husaidia kupunguza Kiwango cha Sukari na Husaidia Mwili kufanya Matengenezo na kupona
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge