
πππ ππππ‘ππ πππππ§ππππ₯π π¦ππ₯π©πππ, π§ππ‘πππ‘ππ
June 18, 2025 at 09:54 AM
Usikamue Matunda Matamu kuwa Juice. Unapohifadhi tunda kwa Mda Mrefu linabaki na virutubisho hai wakati juice virutubisho vyake hupotea kwa Dakika 15 Toka Limekamuliwa
Juice inakufanya utumie Sukari nyingi ya Matunda kuliko ukila Tunda kama Tunda
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge
