
𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 18, 2025 at 09:56 AM
Usile Matunda kabla ya chakula kikuu. Kula matunda baada ya Mlo Mkuu . Matunda kula kwa kiasi, Hamu na Akili Hii inasaidia kupunguza kuingiza Sukari Nyingi Mwilini hasa Matunda Matamu.
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge