𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 19, 2025 at 05:05 AM
*Huduma ya online consultation* ni moja ya Huduma ya Afya ambayo inatolewa hapa Femclinic Healthcare service, Tanzania Ambapo Mgonjwa na daktari au mtaalamu wa afya wanawasiliana kupitia *Mtandao* (kwa njia ya Simu,au ujumbe wa Maandishi) badala ya kukutana uso kwa uso katika kliniki au hospitali. Hii inaruhusu watu kupata *ushauri wa kitabibu*, *utambuzi*, na *Matibabu* kwa urahisi na kwa faragha kutoka nyumbani au popote walipo. Faida: Mgonjwa Anauhuru kuelezea Tatizo lake Bila uoga, Huduma inapatikana bila kuhitaji kusafiri, Mgonjwa anaweza kupata huduma kwa wakati wake na kwa mazingira aliyokubaliana nayo, Husaidia kupunguza idadi ya wagonjwa hospitalini au kliniki. ---------------------------------------------------- Dkt Fedrick, Telehealth Clinician #afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge
Image from 𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔: *Huduma ya online consultation* ni moja ya Huduma ya Afya ambayo inato...
👍 3

Comments