
𝗙𝗘𝗠𝗖𝗟𝗜𝗡𝗜𝗖 𝗛𝗘𝗔𝗟𝗧𝗛𝗖𝗔𝗥𝗘 𝗦𝗘𝗥𝗩𝗜𝗖𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
June 20, 2025 at 06:34 AM
Habari njema kwa Wanafamilia wa Femclinic Healthcare Service, Tanzania Siku ya Leo Tarehe 20 Juni, Daktari Anapatikana Kutoa ushauri kwa Njia ya Mtandao, Kwa Matatizo yote yanayohusisha mfumo wa uzazi wa Mwanamke
Hii Ikiwa ni Pamoja na Kukosa Hedhi, Maumivu Makali wakati wa Hedhi, Mvurugiko wa Hedhi, Kutokwa na Uchafu usio wa kawaida Sehemu za Siri, Miwasho Sehemu za Siri, Maumivu Tumbo la Chini na Maumivu ya Kiuno. Tafadhali weka Miadi na Daktari Kupitia Kiunganishi Hiki https://forms.gle/r6LdSmvvDFuYuR4Z6
----------------------------------------------------
Dkt Fedrick, Telehealth Clinician
#afyayauzazi#femclinic_hc#tunajalinakuthaminiafyayako#upati#drfedrickntashobo#clinician#sexualhealth&reproductivehealthcoach#vochadaychallenge