Ashraf JK 💚💙
Ashraf JK 💚💙
June 2, 2025 at 04:32 AM
Usikose kufuatilia uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Afya 2025/26, kesho Juni 2 -3, 2025 itakayowasilishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama, bungeni Jijini Dodoma
Image from Ashraf JK 💚💙: Usikose kufuatilia uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Afya 2025/26, ...

Comments