
Ashraf JK 💚💙
June 9, 2025 at 02:10 PM
https://x.com/Ashrafkilande/status/1931678011788505393?t=K1Y-dUjFbBLIhV6y-_l54A&s=19
Ugonjwa wa Mabusha (Lymphatic Filariasis): Elimu Ya Afya kwa Umma #afyatamu #ashrafjk #ntd
Unajua kuwa mabusha si laana wala mkosi? Ni ugonjwa unaosababishwa na minyoo na huenezwa nimagea mbu. Karibu ujifunze zaidi na jinsi ya kujikinga.