Ashraf JK 💚💙
Ashraf JK 💚💙
June 19, 2025 at 10:33 AM
Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa asilimia 99.9. Dawa hiyo inayotolewa kwa sindano mara mbili kwa mwaka, itazinduliwa karibuni nchini humo na kusambazwa katika mataifa mengine.
Image from Ashraf JK 💚💙: Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya ii...
😂 1

Comments