
๐๐๐๐๐๐ & ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
June 1, 2025 at 07:06 AM
*๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐*
โช๏ธ Ukimkuta huyu mdudu kwenye shamba lako. Je unadhani atakua mdudu gani?!
*๐ฑ๐ฐ๐ฉ๐ผ ๐ณ๐จ๐ฒ๐ฌ*
*โช๏ธMINYOO WA ARDHINI(Earthworm)*
*๐
๐๐๐๐ ๐๐๐๐*
โช๏ธNi rafiki mkubwa wa mkulima.
โช๏ธHusaidia kuongeza rutuba ya udongo kwa kuchanganya mabaki ya mimea.
โช๏ธHuchimba njia zinazosaidia maji na hewa kupenya ardhini.
โช๏ธKinyesi chake ni mbolea bora ya asili.
*๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐*
Kama wapo kwa wingi kupita kiasi kwenye udongo wa vitalu, wanaweza kuchimba sana na kuharibu miche midogo.
*๐ต;๐ฉ*
โช๏ธWakulima wengine huwachanganya na minyoo waharibifu kama Root-knot nematode hivyo kuwa makini kwenye utambuzi.
`Minyoo wa ardhini(Earthworm) ni rafiki wa mkulima, kwani wanakusaidia kuboresha shamba bila gharama!`
*๐ป๐ผ๐ต๐จ๐บ๐ฏ๐ผ๐ฒ๐ผ๐น๐ผ ๐ฒ๐พ๐จ ๐พ๐ถ๐ป๐ฌ ๐พ๐จ๐ณ๐ฐ๐ถ๐ญ๐จ๐ต๐ฐ๐ฒ๐ฐ๐พ๐จ ๐ฒ๐ผ๐ฑ๐ฐ๐ฉ๐ผ ๐ป๐ผ๐ฒ๐ผ๐ป๐จ๐ต๐ฌ ๐ป๐ฌ๐ต๐จ ๐พ๐ฐ๐ฒ๐ฐ ๐ฐ๐ฑ๐จ๐๐ถ ๐ฒ๐พ๐จ ๐บ๐พ๐จ๐ณ๐ฐ ๐ฑ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฌ*
> *๐บ๐๐๐๐๐๐ฐ๐๐๐๐๐๐๐๐๐*
*๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐*
๐ฎ
๐
2