
ShombyInvestment
483 subscribers
About ShombyInvestment
*KARIBU SANA KWENYE CHANNEL YETU* โขTuna furaha kukualika katika safari yetu ya kilimo na ufugaji. Hapa tunazingatia kutoa *Elimu bora na huduma bora* zitazomsaidia mkulima na mfugaji kuongeza uzalishaji na kupata matokeo bora *HUDUMA ZETU* ยน/ *UUZAJI PEMBEJEO* :- Tunauza viuatilifu bora..Mbegu bora.. Mbolea.. Lishe bora za mifugo na tunakupa ufumbuzi kamili kwa mahitaji ya kilimo & mifugo yako ยฒ/ *VIFAA VYA UMWAGILIAJI* :- Tuna mifumo ya drip.. Pump za umwagiliaji.. Mipira ya umwagiliaji... Mabomba na zana bora za kisasa ยณ/ *FARMIGATION* :- Tunajitolea kutoa suluhisho la uhakika na la ufanisi dhidi ya wadudu majumbani. Pamoja nasi, utapata amani ya akili na mazingira salama kwa familia yako โด/ *ELIMU* :- Pamoja na bidhaa zetu tunatoa mafunzo ya hali ya juu na miongoni ya vitendo kwa wakulima na wafugaji ili kuwapa ujuzi na maarifa wanaohitaji kufanikiwa ```Tunajivunia kuwa mshirika wako katika kuleta mafanikio katika kilimo cha nyumbani. Fuatilia channel yetu kwa habari za hivi karibuni na miongozo ya kitaalamu``` *๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐*
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

*๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐* *๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ (๐ ๐ฅ๐จ๐ฐ๐๐ซ๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ ๐๐๐ฉ๐ซ๐จ๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐จ๐ง)* *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ (๐๐๐๐ซ๐จ๐ง๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ)* *๐ญ๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐ท)* โก๏ธ Huchochea uzalishaji wa maua, uundaji wa mbegu, na ukuaji wa tunda. *๐ท๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐ฒ)* โก๏ธ Husaidia kudhibiti usambazaji wa nishati ndani ya mmea, kuimarisha maua, na kuboresha ubora wa matunda na mbegu. *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ [๐๐ข๐๐ซ๐จ ๐๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ]* *๐ช๐๐๐๐ (๐ญ๐)* โก๏ธ Husaidia mmea kuwa na majani ya kijani kibichi na kutumia hewa vizuri. *๐ฉ๐๐๐๐๐ (๐ฉ)* โก๏ธ Muhimu kwa uzazi wa mimea, kuunda mbegu imara, na kuimarisha maua ili yasidondoke mapema. *๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐* *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐*

*๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐* *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ (๐๐๐๐ซ๐จ๐ง๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ)*: Hizi ni muhimu kwa ukuaji wa jumla wa mmea, kama vile ukuaji wa majani, mizizi, maua, na mbegu. *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ (๐๐ข๐๐ซ๐จ๐ง๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ)*: Hizi ni muhimu kwa michakato maalum kama fotosentezi, uzazi, na usafirishaji wa virutubisho, ingawa zinahitajika kwa kiasi kidogo. *๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐* *๐๐๐๐๐๐*

*๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐* โช๏ธJe, kazi ya nitrojen kwenye mmea ni ipia? *๐ฑ๐ฐ๐ฉ๐ผ ๐ณ๐จ๐ฒ๐ฌ* โช๏ธKazi ya *NITROJE* ni kusaidia mmea kua na majani kibichi na kukua haraka na hii ni kwa sababu *NITROJEN* hufanya mmea kutengeneza chakula chake kwa kutumia mwanga wa jua. *๐ป๐ผ๐ต๐จ๐บ๐ฏ๐ผ๐ฒ๐ผ๐น๐ผ ๐ฒ๐พ๐จ ๐พ๐ถ๐ป๐ฌ ๐พ๐จ๐ณ๐ฐ๐ถ๐ญ๐จ๐ต๐ฐ๐ฒ๐ฐ๐พ๐จ ๐ฒ๐ผ๐ฑ๐ฐ๐ฉ๐ผ ๐ป๐ผ๐ฒ๐ผ๐ป๐จ๐ต๐ฌ ๐ป๐ฌ๐ต๐จ ๐พ๐ฐ๐ฒ๐ฐ ๐ฐ๐ฑ๐จ๐๐ถ ๐ฒ๐พ๐จ ๐บ๐พ๐จ๐ณ๐ฐ ๐ฑ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฌ* *๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐*

*๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐* โช๏ธNitrojen ๐๐๐

*๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐* *โช๏ธ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ (๐๐๐ ๐๐ญ๐๐ญ๐ข๐ฏ๐ ๐๐ซ๐จ๐ฐ๐ญ๐ก)* *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ (๐๐๐๐ซ๐จ๐ง๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ)* *๐ต๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐ต)* โก๏ธ Husaidia majani kuwa mabichi na kukuza sehemu zote za kijani za mmea. *๐ญ๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐ท)* โก๏ธ Huimarisha mizizi kuwa imara na kusaidia mmea kuanza kutoa maua. *๐ท๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐ท)* โก๏ธ Husaidia mimea kudhibiti maji, kuimarisha afya ya mmea, na kuzuia magonjwa. *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ [๐๐ข๐๐ซ๐จ ๐๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ]* *๐ช๐๐๐๐ (๐ญ๐)* โก๏ธ Husaidia mmea kutengeneza rangi ya kijani (klorofili) ambayo inahitajika kwa fotosinthesi. *๐๐๐๐๐ (๐๐)* โก๏ธ Inasaidia mimea kukua vizuri kwa kuchochea utengenezaji wa homoni za ukuaji. *๐ด๐๐๐๐๐๐ (๐ด๐)* โก๏ธ Hufanya mimea kutumia mwanga wa jua vizuri na kudhibiti oksijeni. *๐บ๐๐๐๐ (๐ช๐)* โก๏ธ Husaidia mimea kwenye mchakato wa kutengeneza protini na kudhibiti umeme kwenye seli. *๐ฉ๐๐๐๐๐ (๐ฉ)* โก๏ธ Husaidia kusafirisha sukari ndani ya mmea na kuimarisha uzazi wa maua. *๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐* *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐*

*๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐* โช๏ธ ๐๐๐๐๐๐(๐๐๐ซ๐ฆ๐ข๐ง๐๐ญ๐ข๐จ๐ง) *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ [๐๐๐๐ซ๐จ ๐๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ]* *โข ๐ญ๐๐๐๐๐๐๐ [๐ท]* โก๏ธ Inasaidia katika maendeleo ya mizizi kukua imara na kusaidia maua kustawi vizuri *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ [๐๐ข๐๐ซ๐จ ๐๐ฎ๐ญ๐ซ๐ข๐๐ง๐ญ๐ฌ]* *โข ๐ช๐๐๐๐ (๐ญ๐)* โก๏ธ Hufanya mmea uwe na rangi ya kijani kibichi na uweze kupumua vizuri. *โข ๐๐๐๐๐ (๐๐)* โก๏ธ Husaidia mizizi kuwa na nguvu na kuimarisha ukuaji wa mmea. *โข ๐ด๐๐๐๐๐๐ (๐ด๐)* โก๏ธ Husaidia mmea kutumia mwanga wa jua kutengeneza chakula chake. *๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐* *๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐*

๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐:๐:๐ โช๏ธMbolea ya asili kutoka kinyesi cha kuku, yenye muundo wa punje. ย ย ย โ ๐ ๐๐๐๐ โช๏ธHaina kemikali, โช๏ธHaiwezi kuleta magugu, โช๏ธHuboresha rutuba ya udongo, โช๏ธHuongeza viumbe hai, โช๏ธKuhifadhi unyevu, na โช๏ธKupunguza hatari ya magonjwa na wadudu. โช๏ธHutoa matokeo haraka kwa mimea. ๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐ ๐ฑ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ #๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ โ ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ | ๐๐๐ฅ๐ฅ | ๐๐๐ ๐ป๐ผ๐ต๐จ๐ป๐ถ๐จ ๐ฏ๐ผ๐ซ๐ผ๐ด๐จ ๐ฉ๐ถ๐น๐จ ๐ต๐จ ๐ฉ๐ฐ๐ซ๐ฏ๐จ๐จ ๐ฉ๐ถ๐น๐จ ๐๐ฐ๐ฒ๐ฐ๐พ๐ฌ๐ด๐ถ- ๐ชฒSumu za kuua wadudu mashambani na majumbani ๐ฟ Viuakuvu vya kutibu na kuzuia magonjwa ๐ฑ Mbolea bora aina zote ๐พ Mbegu bora za kilimo ๐ Vifaa vya kilimo na mifugo ๐ป๐ผ๐ต๐จ ๐ฏ๐ผ๐ซ๐ผ๐ด๐จ ๐๐จ ๐ผ๐ท๐ฐ๐ฎ๐จ๐ฑ๐ฐ ๐ญ๐ผ๐ด๐ฐ๐ฎ๐จ๐ป๐ฐ๐ถ๐ต ๐ฒ๐พ๐จ ๐ผ๐ญ๐จ๐ต๐ฐ๐บ๐ฐ ๐ด๐ฒ๐ผ๐ฉ๐พ๐จย ๐ฒ๐พ๐จ ๐ฒ๐ผ๐ฏ๐จ๐ฒ๐ฐ๐ฒ๐ฐ๐บ๐ฏ๐จ ๐ด๐จ๐๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฐ๐น๐จ ๐๐จ๐ฒ๐ถ ๐๐จ๐ต๐จ๐ฒ๐ผ๐จ ๐บ๐จ๐ณ๐จ๐ด๐จ

๐๐ก๐จ๐ฆ๐๐ฒ ๐๐ง๐ฏ๐๐ฌ๐ญ๐ฆ๐๐ง๐ญ Tuna vifaa bora vya kufungia mfumo wa umwagiliaji kama: โช๏ธFilter... โช๏ธConnector... โช๏ธValve... โช๏ธStopper... โช๏ธDripper & Drilling tools Pia tunayo mipira ya umwagiliaji kama: ย ย ย ย ย โช๏ธFlat pipe... โช๏ธRound pipe ๐๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐๐ฎ๐ฆ๐จ ๐ฐ๐ ๐๐ฆ๐ฐ๐๐ ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ฃ๐ข: โข Hupunguza upotevu wa mbolea โข Hupunguza mmomonyoka wa udongo โข Mimea hupata maji kwa kiwango stahiki โข Ukuaji wa magugu hupungua Fanya kilimo chako kuwa cha kisasa na chenye tija kwa kutumia vifaa vyetu vya umwagiliaji! ๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐ ๐ฑ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ #๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ โ ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ | ๐๐๐ฅ๐ฅ | ๐๐๐ ๐ป๐ผ๐ต๐จ๐ป๐ถ๐จ ๐ฏ๐ผ๐ซ๐ผ๐ด๐จ ๐ฉ๐ถ๐น๐จ ๐ต๐จ ๐ฉ๐ฐ๐ซ๐ฏ๐จ๐จ ๐ฉ๐ถ๐น๐จ ๐๐ฐ๐ฒ๐ฐ๐พ๐ฌ๐ด๐ถ- ๐ชฒSumu za kuua wadudu mashambani na majumbani ๐ฟ Viuakuvu vya kutibu na kuzuia magonjwa ๐ฑ Mbolea bora aina zote ๐พ Mbegu bora za kilimo ๐ Vifaa vya kilimo na mifugo ๐ป๐ผ๐ต๐จ ๐ฏ๐ผ๐ซ๐ผ๐ด๐จ ๐๐จ ๐ผ๐ท๐ฐ๐ฎ๐จ๐ฑ๐ฐ ๐ญ๐ผ๐ด๐ฐ๐ฎ๐จ๐ป๐ฐ๐ถ๐ต ๐ฒ๐พ๐จ ๐ผ๐ญ๐จ๐ต๐ฐ๐บ๐ฐ ๐ด๐ฒ๐ผ๐ฉ๐พ๐จย ๐ฒ๐พ๐จ ๐ฒ๐ผ๐ฏ๐จ๐ฒ๐ฐ๐ฒ๐ฐ๐บ๐ฏ๐จ ๐ด๐จ๐๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฐ๐น๐จ ๐๐จ๐ฒ๐ถ ๐๐จ๐ต๐จ๐ฒ๐ผ๐จ ๐บ๐จ๐ณ๐จ๐ด๐จ