
ππππππ & πππππππ ππ ππππππ
June 1, 2025 at 11:11 AM
*WAKULIMA MAKINI HUJIFUNZA KILA SIKU!*
βͺοΈEpuka kubahatisha shambani anza sasa na maarifa sahihi!
Tembelea YouTube Channel yetu: *KILIMO & DIGITAL BY SHOMBY* upate madarasa ya kilimo cha kisasa BURE kabisa!
*UTAJIFUNZA*
βͺοΈMbinu bora za kilimo cha kisasa
βͺοΈNjia sahihi za kudhibiti magonjwa na wadudu
βͺοΈMikakati ya kuongeza mavuno na faida bila kupoteza rasilimali
*SUBSCRIBE* sasa ili usikose masomo yetu mapya kila wiki!
Bonyeza alama ya kengele upate taarifa mara moja kila video mpya inapowekwa.
Kilimo bora huanza na elimu sahihi β Jiunge nasi leo!
πππ
https://youtube.com/@shombyinvestment?si=kwt3-oWExIV0GTgP
*πͺπ±πππππππ ππππ ππππππππ πΎπ*