
*🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa*
June 16, 2025 at 06:57 AM
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R
*🌹🌹JE KAZI YA MWANAMKE NYUMBANI KWAKE ANAPATA THAWABU❓* Darsa namba (1)
*السؤال: 69960 هل إذا عملت المرأة في بيتها دون احتساب نية أجر العمل عند الله تؤجر على عملها أم لا يحسب لها ؟.*
*✍️Swali: je Ikiwa mwanamke anafanya kazi nyumbani kwake bila kukusudia kupata thawabu kutoka kwa Allah kwa kazi yake, je atalipwa thawabu kwa kazi hiyo au haitahesabiwa chochote kwake?*
*الجواب: عمل المرأة في بيتها عمل عظيم تساهم به في نشر المودة والرحمة في بيتها ،*
*📝Jawabu: Kazi ya mwanamke nyumbani kwake ni amali kubwa ambayo kwayo huchangia katika kueneza upendo na huruma nyumbani kwake.*
*ولها اليد الطولى في المساهمة في تربية أولادها ، وهي مُعينة لزوجها على عمله وعلى دعوته .*
*Ana jukumu kubwa katika kulea watoto wake, na kumsaidia mume wake katika kazi yake, na kumuitika anapo muita.*
*وهذا العمل – شأنه في ذلك شأن سائر الأعمال – لا تثاب عليها المرأة إلا إذا أخلصت فيه النية لله تعالى .*
*Na kazi hii inakuwa ni kazi kama kazi zingine hapati thawabu kwa kuzifanya kwake isipokuwa atakapo itakasa nia yake kwa Allah mtukufu.*
*وهذه بعض النصوص المؤيدة لهذا مع نقل طائفة من أقوال أهل العلم :*
*Na hizi ni baadhi ya dalili zinazo tia nguvu jambo hili pamoja na kuwanukuu kundi katika wenye elimu*
*1. ذكر البخاري رحمه الله تعالى في كتاب الإيمان باباً عدَّد فيه واجبات شرعية ، وذكر فيه احتساب الأجر على فعله .*
*Imam Al-Bukhari, Allah amrehemu, ametaja katika Kitabul iman mlango ambao ameorodhesha mambo ya wajibu, na akataja malipo ya kuzifanya."*
Itaendelea fatilia darsa ijayo.....
══════ ❁✿❁ ══════
*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
*📡Subscribe my WhatsApp channel*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
*https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab*
*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*
*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*
*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
🙏
❤️
👍
4