
*🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa*
June 17, 2025 at 04:56 AM
https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R
*🌹🌹JE KAZI YA MWANAMKE NYUMBANI KWAKE ANAPATA THAWABU❓* Darsa namba (2)
*قال البخاري رحمه الله :*
*✍️Amesema imam Al Bukhary (rahimahullah)*
*بَاب مَا جَاءَ إِنَّ الأَعْمَالَ بِالنِّيَّةِ وَالْحِسْبَةِ ، وَلِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى ،*
*Mlango ulokuja kueleza ya kwamba hakika ya matendo ni kwa nia na hesabu, na kwa kila mtu kwa kile alicho nuia*
*فَدَخَلَ فِيهِ الإِيمَانُ وَالْوُضُوءُ وَالصَّلاةُ وَالزَّكَاةُ وَالْحَجُّ وَالصَّوْمُ وَالأَحْكَامُ ،*
*Na inajumuisha ndani yake imani, Udhu, Swala, Zaka, Hajji, Swaumu, na hukmu zake*
*وَقَالَ اللَّهُ تَعَالَى : ( قُلْ كُلٌّ يَعْمَلُ عَلَى شَاكِلَتِهِ ) عَلَى نِيَّتِهِ ،*
*📝Akasema Allah mtukufu: sema (ewe muahammad waambie) kila mmoja atafanya kwa nia yake*
*نَفَقَةُ الرَّجُلِ عَلَى أَهْلِهِ يَحْتَسِبُهَا صَدَقَةٌ ، وَقَالَ النَّبِيُّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : ( وَلَكِنْ جِهَادٌ وَنِيَّةٌ ).*
*Matumizi ya mwanamume kwa familia yake yanachukuliwa kuwa ni swadaka. Amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Bali ni jihadi na nia."*
*❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ "صحيح البخاري" (1/29) "كتاب الإيمان" .❫*
══════ ❁✿❁ ══════
*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
*📡Subscribe my WhatsApp channel*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa *https://chat.whatsapp.com/Esh5ppRBon198VdsjcOFUo*
*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*
*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*
*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
❤️
🌹
😍
😮
7