
*🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa*
June 20, 2025 at 07:00 AM
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🌹🌹CHAKULA CHA MUME KWA FAMILIA YAKE NI SWADAQA KAMA ATANUIA SWADAQA* Darsa namba (1)
*عن أبي مسعود البدري رضي الله عنه قال :*
*Kutoka kwa ibn masu'ud Al-badri Allah amridhie amesema:*
*قال النبي صلى الله عليه وسلم :*
*📝Amesema mtume (swala na salaam ziwe juu yake):*
*إن المسلم إذا أنفق على أهله نفقة يحتسبها كانت له صدقة . رواه البخاري (55) ومسلم (1002) .*
*Hakika ya muislam pindi akitoa chakula kwa Ahli yake akatarajia malipo kwa chakula hiko, basi kitahesabiwa kuwa ni swadaka kwake.* (Kaipokea imam bukhary (55) na muslim (1002)
*فنفقة الرجل على زوجته وأولاده واجب شرعي ، ولا يثاب عليها إلا إن قصد الاحتساب .*
*Matumizi ya mume kwa mkewe na watoto wake ni wajibu wa kisharia, na wala hapati thawabu isipokuwa atakapo tia nia ya kulipwa."*
══════ ❁✿❁ ══════
*📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
*📡Subscribe my WhatsApp channel*
*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R*
*🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa*
https://chat.whatsapp.com/E6Zc5ubeFUg8zisCYsvRxS
*🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga*
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa*
*VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌*
*💉Kuwa muadilifu usibadili chochote*
*🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
❤️
🌹
2