
CRDB Bank Plc
June 20, 2025 at 12:06 PM
Ijumaa nyingine ya Uwekezaji
Jiunge nasi katika Mjadala wa Masoko ya Mitaji, Uwekezaji na Uchumi jioni ya leo kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 1:00 usiku.
Jiunge kupitia link hii https://events.teams.microsoft.com/event/17936e51-1ac5-451f-b9d1-5e648bb9ab6e@4fc60296-e19d-4bd4-8ea8-96cbf963ed25
#crdbbank #tunakusikiliza

👍
❤️
🙏
7