
CRDB Bank Plc
June 20, 2025 at 02:11 PM
Tumepanda mbegu bora Muhimbili 🙏
Jana ilikuwa ni siku njema ambapo Mkurugenzi Mtendaji wetu ndugu Abdulmajid Nsekela sambamba na viongozi wengine wa benki walitembelea hospitali ya Muhimbili wakiambatana na balozi wa Junior Jumbo, Paula Kajala a.k.a Mama Amara ambaye alipata wasaa wa kukutana na kina mama wenzake waliobarikiwa kupata watoto wazuri, wadogo zake Amara.
Ujumbe wa Mama Amara kwa kina mama wenzake waliojifungua ulikuwa ni umuhimu wa kuwaandalia watoto wao kesho iliyo bora kupitia akaunti ya Junior Jumbo ambayo inawawezesha wazazi kuweka akiba ya watoto wao ili wapate mahitaji yao muhimu kama elimu hata ikitokea hawapo, sambamba na kuwafundisha watoto umuhimu wa kujiweka akiba tangu wakiwa wadogo.
Tembelea tawi lolote la CRDB, kufungua akaunti ya Junior Jumbo kwa kesho bora ya mwanao.
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
👍
😮
9