
CRDB Bank Plc
June 21, 2025 at 06:36 AM
Ila Mwadawa😂
Gari analitaka, kaomba aonyeshwe jinsi a kulipata. Baada ya kupata desa anajikuta kauzu anataka kumchomea @zaijiwenongwa.
Haya jamani kama na wewe unataka Ndinga mpya kama Zai, fanya miamala kwa SimBanking App au *150*03# iwe Luku, maji, ving'amuzi na miamala mingine mingi.
#simbankinghumutu
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
🙏
❤️
11