
CRDB Bank Plc
June 21, 2025 at 12:44 PM
Tuna kumi yako hapa!
Habari ya mjini ni 10% ya temboCard, ukipita zako KFC au Pizza Hut weekend kama hii unadaka vitamu na ukilipa kwa Tembocard basi shwaa sisi tunakurejeshea 10% unakua umespend to save.
Ofa hii ipo kila weekend na kwa KFC na Pizza Hut zote. Ila Maswahiba zako tupo na wewe live ukipita maeneo haya utatukuta
Jumamosi hii
- KFC Diamond Jubilee
- KFC Masaki
- KFC Orxy kariakoo
Jumapili nayo Tumo
- KFC SGR
- KFC Orxy Morocco
#tembocardnishwaa
#crdbbank
#tunakusikiliza

👍
❤️
😂
😢
🙏
11