Ajira Tanzania
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                June 13, 2025 at 12:23 PM
                               
                            
                        
                            *TANGAZO LA KAZI*  
📍 *Sehemu ya kazi: Shinyanga Mjini*  
👩 *Anahitajika Mwanamke Kusimamia Lodge*  
*SIFA:*  
- Umri: Miaka 18-45  
- Awe anajua vizuri kuhesabu pesa  
- Mshahara: 100,000/= kwa mwezi  
- NIDA ni kipaumbele  
- Malazi na chumba vinapatikana hapo hapo lodge  
- Chakula juu ya Boss  
📝 *Tuma video fupi ukijitambulisha kupitia email:*  
📧 *[email protected]*