Ajira Tanzania
Ajira Tanzania
June 15, 2025 at 07:32 AM
Anahitajika binti au kijana wa kiume Kazi: Muhudumu Mahali;Upanga,Dar es salaam *Majukumu* 1. Kukaribisha na kuhudumia wateja 2. usafi wa mazingira ya cafe na vifaa vya kazi 3. Kupiga hesabu ya mauzo yake kila siku na kuyawasilisha *Vigezo* 1. Awe na uzoefu wa kazi 2. Awe na miaka kuanzia 18-25 3. Awe mwaminifu na ajue hesabu 4. Awe msafi ,mshapu na mwenye uchangamfu 5. Awe tayari kupangiwa kazi nyingine zinazohisika na cafe kama akihitajika 6. Awe anaishi upanga au maeneo jirani ili kuweza kuwahi kazini na pia kupunguza gharama za usafiri *Mshahara* . Atalipwa/kupokea kiasi Cha sh. Elf 5000/= kwa siku ila ataongezwa kutokana jitihada na utendaji kazi wa wake. Kwa mwenye huhitaji wa hiyo fursa na mwenye hivyo vigezo apige simu kwa namba: 0754205904
😂 3

Comments