Ajira Tanzania
Ajira Tanzania
June 17, 2025 at 09:02 AM
WANAHITAJIKA ; CCTV CONTROLLER nafasi 10. SECURITY OFFICERS nafasi 50 Wanahitajika kwa haraka . Kituo cha kazi Dar es Salaam. Tuma maombi : CV na Vyeti Email : [email protected] Au Tuma Watsap : 0685481916 Note : usipige simu ,tuma tu maombi yako.
👍 1

Comments