Ajira Tanzania
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                June 17, 2025 at 09:02 AM
                               
                            
                        
                            ```Nafasi mpya za kazi St. Maria girls' secondary. 
Wanahitajika walimu wa mahiri wa masomo yafutayo. 
1. Mathematics 
2. Biology na Chemistry (aweze kuandaa practicals)
Shule inamilikiwa na Jimbo katoliki Njombe ipo wilaya ya Wanging'ombe kata ya Mdandu. 
Tuma maombi kabla ya tarehe 20 Juni 2025 kupitia Whatsapp namba 0769632020
```