
Ajira Tanzania
June 18, 2025 at 02:04 PM
Anaitajika mpishi wa kike eneo la kazi ni zinga bagamoyo mshahara 40,000 kwa wiki sehemu ya kuishi inapatikan uko uko,awe na vigezo vifuatavyo
Awe anajua kupika vizuri
Umri chini ya miaka 28
Awe na elimu kuanzia form four
Awe mwaminifu na mchapakazi
Awe na nida namba
Mawasiliano 0762225861
😂
1