
Ajira Tanzania
June 21, 2025 at 08:59 AM
*TANGAZO LA KAZI ⚡*
Ninahitaji *Vijana wanne (4)* waliosomea *Umeme* kutoka *VETA* kwa ajili ya kazi.
Kama unakidhi vigezo, tafadhali *nitafute WhatsApp kupitia namba: 0743567159.*
*Fursa hii ni maalum kwa vijana waliobobea kwenye fani ya umeme. Usikose!*
🙏
1