
Kigoma Region Tanzania
June 14, 2025 at 11:48 AM
*PICHA: CHUO CHA UALIMU KABANGA*
Chuo cha Ualimu Kabanga kilichopo Halmashauri ya Mji Kasulu ni miongoni mwa miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kuhakikisha watoa huduma ya Elimu (Walimu) wanapatiwa Mazingira bora na yenye miundombinu wezeshi ili kuwaimarisha katika nyanja za ujifunzaji na ufundishaji katika kufanikisha utoaji na upatikanaji wa Huduma bora ya Elimu Awali, Msingi na Sekondari sambamba na Elimu Maalum.
https://whatsapp.com/channel/0029VabqKek7oQhlIA20XA2P

❌
👍
👊
🙏
6