
AjiraCoach Platform
June 19, 2025 at 08:34 AM
✅ *NAFASI ZA KAZI – NEW VISION SCHOOL ENGIKARET*
📌 *TUNAHITAJI:*
*3 Walimu Mahiri*
- Preschool Teachers – *Nafasi 2*
- Class I & II Teacher – *Nafasi 1*
*Matron – Nafasi 1*
📋 *Vigezo kwa Walimu:*
1. Awe Mkristo
2. Awe na Cheti au Diploma ya Ualimu
3. Awe mzuri wa kuzungumza Kiingereza
📋 *Vigezo kwa Matron:*
1. Awe Mkristo
2. Umri: Miaka 22–35
3. Uzoefu: Angalau mwaka 1
📩 *Tuma CV na Vyeti Vyako Kupitia WhatsApp:*
*0628 862 020*
📍 *Location:* Engikaret, 2KM kutoka Namanga Road
🗓 *Deadline:* Jumatatu 23 Juni, 2025
#ajirazaualimu #newvisionschool #ajiratanzania #ajiracoach #teachingjobs #educationtransformation

❤️
🙏
2