AjiraCoach Platform

AjiraCoach Platform

35.4K subscribers

Verified Channel
AjiraCoach Platform
AjiraCoach Platform
June 19, 2025 at 10:17 AM
*Kila jaribio lisilofanikiwa ni darasa, si hukumu. Badala ya kusema "sijafanikiwa," sema "ninaendelea kujaribu." Hiyo ndio lugha ya washindi. Hiyo ndio lugha ya watu wanaojenga maisha yao kidogo kidogo, mpaka wanayaona yamebadilika kabisa.*
❤️ 🙏 12

Comments