
AjiraCoach Platform
June 19, 2025 at 02:00 PM
✅ *NAFASI ZA KAZI: PHYSICS AND SCIENCE TEACHERS*
📍 *Al Muntazir Islamic International School*
*Sifa za Mwombaji:*
✔ Bachelor's degree in Education au fani inayohusiana
✔ Uzoefu wa miaka 2+ kufundisha (kipaumbele kwa waliofundisha International Curriculum)
✔ Uwezo mzuri wa lugha ya Kiingereza
✔ Ubunifu, uwajibikaji na mapenzi na kazi
*Tunatoa:*
💰 Mshahara mzuri
🩺 Huduma ya matibabu
📝 *Tuma maombi kupitia:* [email protected]
⏰ *Mwisho wa kutuma maombi:* 20th June 2025
📌 *Jiunge na AjiraCoach Platform kwa fursa zaidi:*
👉 https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01
#ajiracoach #nafasizakazi #ajiraleo #teachingjobs #ajiratanzania #physicsteachers #sciencejobs

😢
🙏
2