
AjiraCoach Platform
June 20, 2025 at 11:53 AM
✅ *NAFASI YA KAZI: Sales Executive*
📍 *Lumac Tanzania inahitaji mtu mwenye uwezo wa hali ya juu katika mauzo na masoko.*
*Sifa:*
- Diploma au Degree ya Biashara au fani zinazohusiana
- Uwezo mzuri wa kuchambua mambo na kushawishi
- Uzoefu wa angalau miaka 3 katika mauzo na masoko
*Tuma CV na barua ya maombi kupitia:*
✉️ [email protected]
📌 *Jiunge na AjiraCoach Platform kwa fursa zaidi:*
👉 https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01
#ajiracoach #lumac #salesexecutive #marketingjobs #ajiraleo #nafasizakazi #fursakwavijana