TheChanzo

TheChanzo

36.9K subscribers

Verified Channel
TheChanzo
TheChanzo
June 17, 2025 at 06:15 AM
*Benki Kuu Yasaini Mikataba na Makampuni ya Madini Kuimarisha Mpango wa Ununuzi wa Dhahabu* *Na Jackline Kuwanda* Dodoma. Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, utiaji saini mikataba ya ununuzi na usafishaji dhahabu kati ya Benki Kuu ya Tanzania na makampuni ya uchimbaji madini na kiwanda cha usafishaji dhahabu cha GGR, itawezesha Benki Kuu kupata vyanzo vya uhakika katika kufanikisha programu yake ya ununuzi wa dhahabu. Akizungumza wakati wa zoezi la utiaji saini amesema hatua hiyo itasaidia viwanda vya ndani vya usafishaji wa dhahabu kufikia malengo ya kupata ithibati ya kimataifa ya London Bullion Market Association (LBMA)... Soma https://thechanzo.com/2025/06/16/benki-kuu-yasaini-mikataba-na-makampuni-ya-madini-kuimarisha-mpango-wa-ununuzi-wa-dhahabu/
Image from TheChanzo: *Benki Kuu Yasaini Mikataba na Makampuni ya Madini Kuimarisha Mpango w...

Comments