TheChanzo

TheChanzo

36.9K subscribers

Verified Channel
TheChanzo
TheChanzo
June 20, 2025 at 01:20 PM
*Rais Samia Ahimiza Utulivu wa Kisiasa: 'Tusilazimishe Vyombo vya Ulinzi na Usalama Kufanya Mengine'* "Niwaombe ndugu zangu tutunze sifa ya nchi yetu, amani na utulivu. Tulete utulivu wa kisiasa. Nchi yetu ibakie kuwa na amani ili tusilazimishe vyombo hivi vya ulinzi na usalama kufanya mengine. Tutulie, tufanye kazi zetu, tulete maendeleo," alieleza Rais Samia akiwa jijini Mwanza leo Juni 20, 2025. "Tukianza kutawanyana hapa hakuna litakalofanyika na hili ndilo wengine wanapenda litokee. Niwaombe sana ndugu zangu tuweke sifa ya nchi yetu. Tanzania ni salama. Twende tukakae salama."
👎 🚮 😢 5

Comments