
AjiraCoach Vijiwe
June 5, 2025 at 04:06 AM
*JIFUNZE NAMNA YA KUTAFUTA CPD POINTS MWENYEWE – NI KOSA KISHERIA KUTAFUTIWA!*
VIDEO ya jinsi ya kupata *CPD Points zaidi ya 60* kwa kutumia *module 3* kupitia WCEA platform iko tayari.
*TAZAMA VIDEO* hapa na epuka kuvunja sheria au kutumia pesa nyingi 👉
https://learn.ajiracoach.com/courses/how-to-get-60-cpd-points-easier-for-nurses/
Jiunge na AjiraCoach Platform kwa updates za ajira na mafunzo:
https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01
#nursingcpd #cpdpoints #wcea #ajiranursing #ajiracoach #nursestanzania #nursingupdates