AjiraCoach Vijiwe
AjiraCoach Vijiwe
June 7, 2025 at 08:22 AM
📢 *TANGAZO LA KAZI* Anahitajika mtu wa kuuza *Duka la Dawa (DLD)* 🔹 *Location:* Iringa – Ismani 🔹 Akaribishwa awe MA / Nurse / CO / ADDO (leseni siyo lazima) 🔹 Chakula na malazi juu ya boss 🔹 Mengine maelewano 📞 Mawasiliano: 0658 616 810 0710 945 569 🔗 *Jiunge na Vijiwe Tanzania kwa fursa zaidi:* https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934 #ajirazaafya #dukaladawa #iringajobs #vijiwetanzania

Comments