
AjiraCoach Vijiwe
June 7, 2025 at 08:27 AM
📢 *TANGAZO LA KAZI*
👉 Wanahitajika *Nurses* (EN/RN) watatu (3)
📍 *Location:* Dar es Salaam – Upanga
🕐 *Aina ya kazi:* Part-time
🔹 Sifa: Wawe flexible, wachapakazi na waaminifu
📄 *Tuma CV kupitia:* 0656 028 022
🔗 *Jiunge na Vijiwe Tanzania kwa fursa zaidi:*
https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934
#nursingjobs #daressalaamjobs #ajirazaafya #vijiwetanzania