
AjiraCoach Vijiwe
June 7, 2025 at 12:36 PM
📢 *TANGAZO LA NAFASI YA KAZI*
🏥 *MAKUSARO WAZO DISPENSARY*
🔹 *Nafasi:* Muuguzi (RN au EN) – Nafasi 1
📍 *Mahali:* Tegeta, Dar es Salaam
💰 *Mshahara:* Kwa makubaliano
📞 *Wasiliana kupitia WhatsApp:*
📲 0620 832 766
*Karibu utume maombi yako mapema!*
#ajira #nursingjob #daressalaam #muuguzi #ajira2025 #afyatanzania